World News

Wednesday, October 7, 2009

Wakombozi Crew waja na 'Bad News'......!!

Wasanii wa bongofleva Wakombozi crew wa jijini Dsm 4nce B kulia na 0A wakishow luv baada ya kuachia ngoma yao mpya inayoitwa 'Bad News', nyimbo imefanyika Fiz Record chini ya utayarishaji wao mwenyewe.

Nyimbo yao pia itakuwepo ktk Playlist ya Makavulive muda mchache ujao, kabla ya Bad news jamaa tayari wameachia nyimbo zingine kwenye vituo mbalimbali vya redio ikiwemo 'Feel so high', wasikilize mdau!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...