World News

Monday, October 12, 2009

Washindi Tuzo za MTV Africa Music Awards with Zain 2009

Wasanii Nameless (Kenya) na M.I. (Nigeria) ndio waliokuwa vinara wa tuzo za MTV zilizofanyika kwa mara ya 2 Africa juzi nchini Kenya. Tuzo hizo zilizotawaliwa na majamaa kutoka hizo nchi 2 za Nigeria na Kenya ktk hafla zilinogeshwa na show kali kutoka kwa wasanii wakali ambao ni Wyclef Jean aliyesindikizwa na kina Akon, Wahu, M.I., Samini, HHP, Da L.E.S, Zebra & Giraffe, Lizha James, STL, Amani, Nameless, A.Y., Lira, 2FACE and Blu3.

Wasanii walioshinda tuzo mbalimbali za MTV Africa Music Awards with Zain 2009 iliyofikia kilele juzi kwa sherehe kufanyika Moi International Sports Complex, Kasarani, Kenya tarehe 10 October 2009 ni:

BEST FEMALE Amani (Kenya)
BEST MALE Nameless (Kenya)
BEST PERFORMER Samini (Ghana)
BEST GROUP P Square (Nigeria)
BEST ALTERNATIVE Zebra and Giraffe (South Africa)
BEST HIP HOP M I (Nigeria)
BEST R&B Darey Art Alade (Nigeria)
ARTIST OF THE YEAR D'Banj (Nigeria)
BEST NEW ACT M I (Nigeria)
BEST VIDEO HHP (South Africa)
LEGEND AWARD Lucky Dube (South Africa)
MY VIDEO AWARD Patricke-Stevie Moungondo (Congo Brazzaville)
LISTENERS CHOICE AWARD Nameless (Kenya).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...