World News

Monday, November 9, 2009

At last ELIZA atolewa Bba.....!!


Mwanadada Elizabeth Gupta aliyewakilisha Tanzania ktk kinyang,anyiro cha Bigbrother Africa 2009 akihojiwa na IK mtangazaji wa mashindano hayo mara baada ya kutoka ktk jumba hilo. Eliza ametolewa jana baada ya kupata kura chache za kubaki ktk jumba la BBA, japo hajashinda lkn ametuwakilisha vizuri kiasi cha kufikia Top 10 finalist kutoka washiriki zaidi ya 24 waliokuwepo hapo mwanzo.

Welcome back sista!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...