World News

Thursday, November 26, 2009

Jiga kufanya Birthday party ya kimataifa Desemba 4...!

Hiphopapist bingwa Duniani Jay Z kushoto pichani anasuka mipango yakufanya bonge ya party huko Carribean akiwa anasherehekea birthday yake ya 40 wiki ijayo Desemba 4 2009, Jiga atasafiri na mkewe pamoja na jamaa zake kibao maarufu km Diddy, Kevin Liles, Ty Ty na wengine.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...