World News

Tuesday, November 24, 2009

Miss Utalii Kinondoni kufanyika Ijumaa hii Nov. 27 Msasani Club.....!

Warembo watakao pambana jukwaani kuwania umalkia wa utalii wilaya ya Kinondoni mwishoni mwa wiki hii ni pamoja na Joseline Sekwao, Aike Abel, Neema Mashalla,Jackline Mollel, Ratifa Bakari, Christina Masandeko na Zubeda Hamisi.

Wengine ni Robby Masandeko, Agness Selis, Juliana Johnson, Sauda Ramadhan, Barke Mohamed, Faraja Hassan, Martha Denis, Sarah Shaaban, Lulu Dello na Sophya Dei.

Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika ktk ukumbi wa Msasani Club ijumaa ya tarehe 27 mwezi huu huku yakiwa yamedhaminiwa na taasisi na makampuni kibao.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...