World News

Tuesday, November 24, 2009

Busta ashangazwa na ma-fans wa Bongo...!

Lile bonge la shoo ya mnyamwezi Busta rhymes la FIESTA lililofanyika jmosi 21 Novemba limemuacha hoi jamaa jinsi vile wabongo walivyoonyesha ubishi ktk shwara zima la burudani, mchizi amekiri mwenyewe kupitia mtandao hasa ule wa twitter kwamba hakutegemea kuona show km ile hapa Tanzania part of East Afrika kuanzia ktk mapokezi, stage na vile wasanii na mafans walivyokuwa wakishangweka!!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...