World News

Tuesday, November 24, 2009

Xdizzo ,Baghdad bado watambiana Ukali wa freestyle......!

Xdizo kushoto akiwa na Baghdad walipokutana kwenye mchuano wa 'Mkali wa Freestyle Mc shujaa 2009', shindano lililoandaliwa na Dj Fetty wa kituo cha redio Clouds fm ya jijini Dar es salaam hivi karibuni.

Ktk mchujo huo Baghdad alimdondosha mchizi kabla na yeye kuangushwa na mchizi mwingine ambaye ndie aliibuka Mc shujaa kwa mwaka 2009. Baada ya kinyang'anyiro hicho majamaa km bado hawaja kubali kuwa wao sio zaidi, kama wanamaind kuchuana zaidi mpaka watakaporidhika.

Jana jioni ktk redio nyingine hapa town ya Times redio majamaa wakiwa na wenzao wengine wawili Athanas na Mwajo wamlikutana tena na kuhojiwa na mtangazaji wa kipindi cha Bongofleva 'Bongo dot home' Bw. Issa Kiango ambapo walitoa malalamiko yao na ku-battle tena kwa mafreestyle makali.

1 comment:

  1. xdizoo kaka upo it is ya boy Franco nko pande za mapound huku(LONDON)ila bado nakuchk mwana wape gwaraaaaa wote keep it up ZAHABU ZILIZO POTEA haaahhaha lol

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...