World News

Tuesday, December 29, 2009

WASANII WA TAARAB, BONGOFLEVA NDANI YA JUKWAA MOJA KABA KABANA CLUB - MWANANYAMALA

Tukiwa tumebakiza siku tatu tu kuhesabu kalenda ya mwaka 2009, wadau wa maeneo ya Kinondoni na Mwananyamala na maeneo ya karibu jijini Dar es salaam watarajie bonge ya show ya mwaka mpya siku ya ijumaa 01 January 2010 usiku ktk Ukumbi wa Kaba kabana club zamani ukiitwa Wami Bar uliopo Mwananyamara mbele kidogo ya Komakoma.Mc Babu Ayub ambaye ametoka na nyimbo yake mpya ya taarabu 'CHAJA YA KOBE' iliyokamata vivuri Bongo, atapambana na wasanii wengine wa bongofleva ktk jukwaa moja, nawazungumzia Dulayo na crew nzima ya Makavu-live bila kumsahau Q JAY member from Wakali kwanza na Mlkia wa Taarab nchini Tanzania Khadija Omary Kopa


Malkia wa mipasho TZ


Dullayo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...