Tuesday, January 26, 2010

BURIANI SWETU!!!

Waombolezaji waliojitokeza kwa mamia wakielekea ktk makaburi ya Kisutu kwenda kumzika Swetu Fundikira aliyeuwawa juzi baada ya kupigwa na wanajeshi

Mwili wa marehemu ukishushwa kaburini leo alasiri

No comments:

Post a Comment