World News

Tuesday, January 26, 2010

Washindi wimbo bora wa kupambana na UKIMWI wakabidhiwa zawadi leo!

Mratibu wa kitengo cha UKIMWI katika Manispaa ya Temeke, Dkt. Mathias Lyaruu (kushoto), akikabidhi zawadi kwa washindi wa fainali za shindano la wimbo bora wa kupambana na maambukizi ya UKIMWI, Amon Nungi (kulia) na Hassan Akida (katikati) katika ukumbi wa Luxury Pub, shindano hilo liliandaliwa na shirika la PSI Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...