Thursday, January 7, 2010

...hapa soka tu, show kwenu!!

Aruna Dindane shoto mshambuliaji wa Ivory coast na Portmouth ya England wakiwekeana kibesi na Abdulahim Humuod kiungo wa Mtibwa sugar na Taifa stars mara baada ya mechi kuisha, katikati ni Salomon Kalou anayechezea Chelsea.

No comments:

Post a Comment