World News

Thursday, January 21, 2010

Hitma ya Dj KIM kufanyika Jumamosi hii...!


Dj mkongwe East Africa na mhasisi wa matamasha na kuibua vipaji vya wasanii Tanzania
Dj Kim wa Kim & the boyz enzi za uhai wake mwaka 2006


Aliyekuwa DJ maarufu jijini Kim magumelo akionekana katika picha ya harusi na mkewe enzi za uhai wake Mariam 1991 Mara baada ya ndoa yao.Kim amefariki dunia mwishoni mwa mwaka 2009 na arobaini yake itafanyika tarehe 23/01/2010 nyumbani kwao mtaa wa Mkwepu wote mnakaribishwa.Kim ameacha mjane na watoto watatu.
R.I.P DJ KIM

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...