World News

Monday, January 11, 2010

KRAVE 'Destiny Child mpya'..!

Wanadada wa3 wanaofananishwa na Destiny Child au TLC, Chanel, Jazzy NA Shan Q. wameunda kundi lao jipya linaloitwa KRAVE na tayari wameshaachia ngoma km 3 ikiwemo UP and DOWN waliyowashirikisha kina Akon, Nelly na Twista. wasome mdau....!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...