World News

Tuesday, January 12, 2010

CAF yakulaumiwa kupeleka AFCON 2010 Cabinda kwenye mitutu...!

Picha iliyoonyeshawa na Sky news timu ya taifa ya Togo iliposhambuliwa huko Cabinda Angola wakati wakielekea mashindanoni Afcon.

Hii inaweka dosari mashindano ya Kombe la Dunia yanayotegemewa kufanyika South Africa June 2010, nionavyo mimi CAF inabidi ibebeshwe lawama zote pamoja na nchi ya Angola kwa kupeleka mashindano haya Vitani!!!!!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...