World News

Tuesday, January 12, 2010

SHEREHE ZA MIAKA 46 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR


Raisi wa Zanzibar na kiongozi wa baraza la mapindunzi Dk. A. A. Karumewa pili kulia akiwa na Raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania J. M. Kikwete wakipokea salamu za heshima kutoka vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama leo ktk maadhimisho ya miaka 46 ya mapinduzi ya Zanzibar huko Gombani Pemba.

Moja ya maandamano ya vijana walioshika mfano wa bunduki na picha ya Raisi wa kwanza wa Zanzibar Abeid Karume wakipita mbele ya marais na viongozi kusherehekea siku hio.

Raisi Amani Karume akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama ktk kuhitimisha sherehe za miaka 46 ya mapinduzi ya Zanzibar leo Gombani Pemba.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...