World News

Wednesday, January 13, 2010

Madereva wa daladala watatuuwa sana..!daladala inayosafiri kati ya Temeke na Ubungo ikiwa chali mara baada ya kupinduka ilipogonga kichwa cha treni ktk barabara ya kawawa juzi usiku, watu zaidi ya 20 walijeruhiwa vibaya.


mmoja wa majeruhi aliyevunjika mguu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...