World News

Friday, January 15, 2010

Ommy G, Pnc, Dullayo kukinukisha Plantaya Club - Mtwara leo..!


Usiku wa leo maeneo ya Mnalani na vitongoji vyake wataburudishwa na wasanii wanaokuja juu ktk medani ya Bongofleva ambao ni Pnc, Ommy G, na Dullayo. Mpaka nnakwenda mitamboni majamaa walikua wakihojiwa kupitia redio Pride Fm ya mkoani Mtwara nakutanabaisha kuwa wakazi wa Mtwara wategemee bonge la show kutoka kwa wasanii hao ndani Plantaya Club.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...