World News

Monday, January 25, 2010

P. Diddy amfanyia bonge la B'day party mwanae..!Diddy amemfanyia mwanae wa kiume Justin Dior Comb bonge ya party usiku wa juzi Jan. 23 ktk kuadhimisha birthday yake ya 16 ktk nightclub moja maarufu huko New York.


wasanii kibao akiwemo Fabolous na Trey Songz na washkaji wa Justin walialikwa ambapo dogo alikuwa akicheza na nduguze kunako steji kila msanii alipokuwa akimuimbia.

P.Diddy alimzawadia cheq ya $10,000 kijana wake akabenk kwenye akaunti yake lakini Justin ye akatoa km mchango wake kwa maafa yaliyotokea huko Haiti. Pia Diddy alimpa gari yenye thamani ya $300,000 pamoja na dereva wakumuendesha kwa kuwa bado ajafika mda wa kukamata usukani.

Justin alim-date msanii machachari anayekuja juu sana ktk medani ya hiphop kwa sasa km patner wake ktk birthday yake hio


Nick Minaj mwanadada aliyefuata nyayo za kina Lil Kim

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...