World News

Saturday, January 23, 2010

R.I.P Apache!!

Anthony Teaks a.k.a Apache ameferiki dunia jana jan.22 na kuacha simanzi kubwa kwa kundi lake la Original flavour unit na wapenzi wengi wa hiphop duniani, enzi za uhai wake alishirikiana sana na kina Tupac, Naught by nature, Ft joe na wengine kibao.

Mara ya kwanza kabisa jamaa kutoka ilikuwa mwaka 1990 ktk The 45 King Presents The Flavor Unit by Flavor Unit, badae akaachia album yake iliyoitwa Apache Ain't Shit 1991 ikashika #66 ktk Billboard 200 bora, ambapo noma yake iliyokuwa gumzo zaidi "Gangsta Bitch" ilikaa #67 on the Billboard Hot 100 na #11 ktk Hot Rap Singles.

R.I.P APACHE“Without Apache there would have been no Queen Latifah, no Naughty By Nature, no Chill Rob G., no anything” Compere told AllHipHop.com. “Apache was the string that tied all of Flavor Unit together. Without Apache none of this would be.”

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...