World News

Thursday, January 28, 2010

Please mdau help KILOSA bado wanahitaji msaada!!Mdau, saidia maafa ya mafuriko yaliyowakuba ndugu zetu wa Kilosa na Dodoma hivi karibuni kwa kuchangia japo kidogo tu, ni rahisi sana tuma neno maafa kwa simu ya mkononi kwenda namba 15599 ni Tshs. 250 tu, fanya mara nyingi kuchangia tena na tena, huduma hii inaendeshwa na kampuni ya simu ya Vodacom! pia zipo njia zingine za kuchangia km M-pesa au unaweza fatilia kituo cha redio Clouds Fm iliyopo Mikocheni na ukawasilisha mchango wako!


Tayari wadau mbalimbali wameshajitokeza ktk harambee hii hasa kupitia redio Clouds fm, wasanii kibao na wadau wa makampuni kibao wametoa michango yao.BAADHI YA MATUKIO YA MAFURIKO KILOSA KTK PICHA


sehemu kubwa zimefunikwa na maji/topebaadhi ya kambi za wananchi waliopoteza kabisa makazi yaowengi wanaishi ktk vyumba vya madarasa na shule zimefungwa
hali ni mbaya,

watoto lazima wasaidie

baiskeli zinabebwa ili uweze kupitamafuriko yakiwa yameangusha miti na kubomoa nyumba

kwa hali ilivyo magojwa kutokana na mkusanyiko wa maji yanaweza kutokea

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...