World News

Friday, January 8, 2010

Wadau wameongea sana jamani..! Mjomba inakuaje hii...?(Pichani Mkondoa Bridge Kilosa)

Jamani, mbona ni habari ya kusikitisha! Baadhi ya madaraja kwenye njia ya reli ya Central zimechukuliwa na maji. Na ni bahati hakuna treni iliyozolewa na maji hayo! Wadau wanaojua Central Line, wanajua sehemu zilizotajwa kwenye story. Lakini jamani, mbona Central Line ni ile ile ya Mjerumani aliyojenga 1908! Waikarabati jamani, na tena waongeze track nyingine!


source;swahilitime.blogspot

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...