Pop star Rihanna baada ya maswahibu yaliyotokea mwaka wa jana na boy wake Chris Brown, Rihana ameuanza mwaka 2010 na handsome boy Matt Temp mcheza baseball mashuhuri wa L.A
Rihana na Temp wakikumbatiana sehemu ya wazi kabisa ambapo kila paparazi aliweza kushuhudia.

kila la heri 2010
Wow! Rihanna brought in the New Year in Dubai by kissing Matt Kemp, L.A. Dodgers outfielder at midnight!!
ENZI ZAKE AKIWA NA R&B SINGER CHRIS BROWN

No comments:
Post a Comment