World News

Monday, February 1, 2010

Chid Benz awafuata P-Unit Kenya..!

Msanii mkali wa hiphop hapa bongo Chid benz amekwenda nchini Kenya ktk pilika za kufanya video ya nyimbo yake inayokwenda kwa jina la Chaguo Langu akiwa ameshirikiana na kundi la wasanii kutoka Nairobi Kenya la P-Unit.


P-Unit

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...