World News

Monday, February 1, 2010

Usiku wa Grammy awards 2010 ilikuwa kama "Ladies' night"..!
Show ya Tuzo za Grammy iliyofanyika usiku wa kuamkia leo huko Los Angeles, Staples Center , California ilikuwa km ladies nite, umati ukishuhudia wasanii wa kike wa muziki Beyonce, Taylor Swift na Lady Gaga wakitawala na kuondoka na jumla ya awards 12 ktk tuzo kubwa za mziki zilizokuwa zinashindaniwa.
Beyonce aliondoka na tuzo 6 na kuweka record kwa wasanii wa kike, wakati Swift alichukua 4 na Lady Gaga akajinyakulia 2! Pia hawa divas watatu walishindanishwa pamoja ktk album of the year lkn Swift kuwapiga chini wenzie. Bey amewapiku wasanii wengine wote kwa kuchukua awards nyingi zaidi huku akionyesha furaha alitwaa tuzo zake na kumshukuru mumewe Jay Z kitu ambacho wengi wamesema hawajawahi kumsikia akimsifia na kumshukuru mshkaji on tha stage km hivyo. “I’d love to thank my family for all of their support, including my husband. I love you.”


Beyonce akiperform

Lady GaGa: Grammy Fashion Queen


Bey na Jay Z

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...