World News

Tuesday, February 2, 2010

Pink; Mcharuko..!


Msanii machachari Pink alifanya bonge la show ktk sherehe ya Grammy awards za 52 huko California juzi, japo hakuna tuzo aliyopata, alistahili kupewa hata tuzo ya Performance kali. It was so AMAZING!!

Pink aliingia stejini baada ya Beyonce kuperform nyimbo yake ya '"If I Were A Boy" na Alanis Morissette's "You Oughta Know", kabla ya yeye kuperform kibao chake cha "Glitter in the Air" huku akiwa amejiachia na kuninginia angani kwa kamba nyeupe na kuamsha watu ukumbini huku wakipiga mayowe!

hapa km sio yeye vile..!
WASHINDI WA TUZO WALIKUWA KM IFUATAVYO;

* Record of the Year – Kings of Leon – “Use Somebody”
* Album of the Year – Taylor Swift – ‘Fearless’
* Song of the Year – Beyonce – “Single Ladies (Put a Ring On It)”
* Best New Artist – Zac Brown Band
* Best Female Pop Vocal – Beyonce – “Halo”
* Best Male Pop Vocal – Jason Mraz – “Make It Mine”
* Best Duo or Group With Vocals – Black Eyed Peas – “I Gotta Feeling”
* Best Pop Vocal Album – Black Eyed Peas – ‘The E.N.D


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...