World News

Wednesday, February 10, 2010

Kifungo cha Lil Wayne chaahirishwa..!


Mnyamwezi Lil Wayne anaendelea kudumu mitaa ya Miami baada ya Judge Charles H. Solomon kuahirisha kifungo chake mpaka March 2. Judge alifikia maamuz hayo kutokana na matatizo ya meno yanayomsumbua Lil Wayne, ambapo anatazamiwa kumuona daktari wake Ijumaa hii.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...