World News

Wednesday, February 10, 2010

Picha chafu alizopiga Bobby Valentino zabambwa,

Picha ya msanii Boby Valentino iliyo enea ktk mitandao tofauti ikimuonyesha mwanamuziki huyo akiwa na wasichana wawili ktk chumba kimoja cha hotel, picha hii iliyo-editiwa ktk kulinda maadili ni moja ya picha nyingi za Boby na hao mademu ziliwekwa ktk mitandao bila ya wao kujua..! CHECK MOJA YA COMMENT ZA MAANA KWA DADA ZETU ZILIZOTUMWA'Ladies it is time for us to wake up and see these men for who they are. This is one of many emails to come! Remember in life you must make choices; love the one you are with and stop thinking people will never find things out… cause your actions always come to the light.
1 comment:

  1. Stupid women keep falling for the same trick over and over again. Celebrities will always use women

    http://hoodstash.blogspot.com/

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...