Tuesday, February 9, 2010

Mademu kuonyeshana kazi ktk Fainali za mabingwa wa Kick boxer Tanzania..!


nani kumtwanga mwenzie Feb 26??



Frida


Pendo

Bondia Frida Machue(20) kushoto akipangua teke lililopigwa na Pendo Njau(20) kulia, mabondia hao pekee wa kike watapambana siku hio.

Josef Kaseba(mwenye shati la pundamilia kati) mratibu wa mapambano hayo akiwa na Kundi la Mabondia wa Kick boxer kutoka mikoa tofauti nchini Tanzania watakaopambana ktk ulingo wa DDC Magomeni Kondoa jijini DSM, tarehe 27 February Robo fainali na Fainali kufanyika tarehe 6 ya mwezi Machi

No comments:

Post a Comment