World News

Friday, February 12, 2010

Miss Tanzania akosa wakumdhamini, valentine Day kumkutia lupango..!


Miss Tanzania Miriam Gerald akielekezwa gereza la keko.
Bosi wa Miss TZ Bw. Hashim Lundenga
Baada ya kusomewa mashtaka yaliyomfikisha kizimbani leo, Miss Tanzania Miriam Gerald amekosa dhamana na kupelekwa lupango ktk gereza la keko mpaka tarehe 25 February kesi yake itakapotajwa tena.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...