Monday, February 15, 2010

TID amtangaza mkewe mtarajiwa ktk Show yake ya Valentine...!


TID akiwa katikati ya perfomance Platinum Club Mikocheni, aliamua kuwashangaza watu alipozima muziki na kutangaza kuwa yuko tayari kuoa, kuhangaika tena sasa baaaaasi. Na Kinana ndie mwanamke aliemchaguwa kuwa mkewe!!! BIG UP MZAZ....
from djfetty.blogspot

No comments:

Post a Comment