World News

Monday, February 8, 2010

Tamasha kubwa la kupinga Malaria viwanja vya Leaders, jumamosi hii...!


SATURDAY TAREHE 13 KUANZIA SAA KUMI NA MBILI JIONI HADI SAA SITA USIKU...
KIINGILIO TSHS. 3,000/= WASANII KIBAO KUTOKA BONGO NA NJE YA BONGO WATA-PERFORM .
RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE ATAKUWEPO
HILI SIO LA KUKOSA MDAU!!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...