World News

Tuesday, February 9, 2010

Wasanii kibao ku-perform ZINDUKA concert jumamosi..!

MSANII Profesa. J akiwa na wadau wa habari Spear Patrick kushoto na Mzee Peter Mwenda kulia habari maelezo leo ktk kuzungumzia tamasha la tarehe 13 mwezi February linaloitwa "zinduka" litakalofanyika katika viwanja vya Leaders’ Club jijini Dar es salaam.

MwanaHipHop Joseph Haule amesema Tushirikiane Kuitokomeza, kauli inayowataka watanzania kujikinga wao na familia zao dhidi ya malaria.Baadhi ya wasanii walio saini katika uzinduzi huu wa Malaria Haikubaliki ni pamoja na; Kidumu, Diamond, Dully Sykes Marlaw, Professor Jay, Lady Jay Dee, Mwasiti, Bi Kidude, Banana Zoro, Ray C, Maunda Zoro, Tanzania House of Talent (THT) dance troupe, Banana, amini na pipi, Mataluma na R Tony.Tiketi za kuingia kwenye tamasha la zinduka zinauzwa kwa shilingi (3000) na zitapatikana zuzu, Steers -Millenium Tower na Town Outlet.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...