Thursday, February 25, 2010

T.I amzawadia bonge ya gari demu wake baada ya kutoka jela...

Ni kama mchizi T.I alikuwa akimpa asante mkewe mtarajiwa Tiny kwa kumvumilia kipindi chote alichokuwa jela. Tiny alizawadiwa brand new Porsche Panamera Turbo na T.I ikiwa imepigwa utepe mwekundu juu, amepiga pozi mbele ya gari hilo akiwa na rafiki yake anayeitwa Shekinah.


No comments:

Post a Comment