4NCE B aka C'JAMOKER baada ya kuachia "Yuo make me feel so high" mwanzoni mwa mwaka jana sasa mchizi amerudi tena na bonge ya Collabo akiwa amefanya na mkongwe SOGGY na MANSU-LI
Nyimbo inaitwa COLLABO
Studio Fiz Record

Unaweza kuisikiliza na ku-download for free kabisa hapo juu ktk playlist ya Makavulive, sikiliza ngoma mdau halaf tuone nani kafunika? na nani kafunikwa?
No comments:
Post a Comment