Tuesday, April 20, 2010

Oyoyo..... live dar na Zain usiku wa leo!

Mkali anayetamba na ngoma yake ya OYOYO, J Martin tokea pande za Nija ataperform live ktk viwanja vya ofisi za Zain Makao makuu mitaa ya Morocco leo usiku.....

pichani akihojiwa na wanahabari huku Bw. Mutta(kati) akimtazama kwa makini!

No comments:

Post a Comment