Tuesday, April 20, 2010

R.I.P GURU



Mnyamwezi Keith Elam aka GURU amefariki dunia baada ya kusumbuliwa sana na Kansa

Mwana-hiphop huyu alikuwa mmoja kati ya ile mihimili ya ki-Ganstar, amefariki akiwa na umri wa miaka 43..!

Familia yawashukuru fans



Mungu ailaze roho yake mahali pema

No comments:

Post a Comment