Friday, June 25, 2010

DRAKE atusua Billboard charts....!

Ludacris akimpongeza Drake baada ya albam yake kuuza sana wiki ya kwanza

Album ya Drake "Thank me later" imetusua na kuwa no. 1 ktk Billboard top 200 wiki yake ya kwanza ktk mauzo, mchizi ameshauza copies 462, 989 kwa ma-fans wake, albam hii imekuwa bora namba tatu kwa mauzo tangu mwaka ulipoanza kwa kuuza nakala nyingi zaidi.




Mnyamwezi Drake akijiandaa kukwea pipa kuelekea maskani kwake Toronto, Canada.


Drake anafanya vizuri sana ktk gemu hivi sasa, juzi kati ktk tuzo za video bora huko Toronto amelamba tuzo kupitia ngoma yake ya 'successfull' ngoma zake nyingi zinafanya vizuri na ziko juu kunako chati za Billboard zingine zipo kwenye top 60 ktk iTune:-


#5 “#63 “Miss Me” Ft. Lil Wayne

Find Your Love”

#32 “Over”


Debuts:

#49 “Up All Night” Ft. Nicki Minaj

#57 “9AM in Dallas”

#71 “Fireworks,” Ft. Alicia Keys

#87″ Fancy” Ft. T.I. & Swizz Beatz

Tusubiri ujio wa Eminem na Recovery, je atatusua km kijana wake??

No comments:

Post a Comment