![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj79ddhToUR6a3XlZpUxUx3B6budnEWknKtjzVikDi78ua2So6vOfPLflykAL778hmqlRtl7YOFFBVNWIIvTDISne14QeAtwgabDDRAMtCkckUhk2RzSRzFckfTwF7Z6VhK-0K7oXL32SE/s320/afeni-shakur.jpg)
Mama mzazi wa hayati Tupac Shakur ameongea na kuonyesha kuguswa na kushukuru sana kwa niaba ya mwanae baada ya Library of Congress kuipa heshima nyimbo ya Dear mama iliyoimbwa na Tupac mwaka 1995 na kuiingiza ktk National Recording Registry, kila mwaka nchini Marekani pande za Culpeper, Virginahuifadhiwa nyimbo ambazo zina umri wa zaid ya miaka 10 zenye hadhi ya kitamaduni, kihistoria na heshima ya pekee.
“I’m incredibly touched. It could have been any song, but I’m honored they chose ‘Dear Mama’ in particular. It is a song that spoke not just to me, but every mother that has been in that situation, and there have been millions of us. Tupac recognized our struggle, and he is still our hero.”
No comments:
Post a Comment