Wednesday, June 23, 2010

Alicia Keys na mchumba'ake wafanyiwa tambiko la ki-Zulu South Africa..!

Alicia Keys na jamaa yake Swizz Beatz wamefanyiwa Zulu blessing huko bondeni ambako mashindano ya kombe la dunia yakiendelea, Alicia ambaye ni mjamzito wa miezi mi-5 sasa kutoka kwa Swizz ambaye pia ni producer wake walifanyiwa mambo fulani ya kimila na kabila la waZulu na kubarikiwa wajifungua mtoto salama na mwenye afya huku akichaguliwa majina mawili ya kidini na kimila.

Mambo yote hayo yalifanyika chini ya mti wanaouamini sana 'healing tree'

No comments:

Post a Comment