Wednesday, June 23, 2010

Bigbrother Africa yarudi tena kitofauti, Hawataki washiriki wapya......!


mshiriki wa Tz BBA Revolution Eliza akiwa na baadhi ya washiriki walipozuru Nigeria hivi karibuni
M-net wanatuletea series ya 5 ya BBA mapema baada ya fainali ya Kombe la Dunia, baada ya kupatikana champion wa World cup 2010 Bigbrother itaanza kurushwa live 24/7 siku zote 91 kuanzia tarehe 18 July 2010.

Majamaa wanasema msimu huu watachagua vichwa vya ukweli kutoka ktk wale washiriki waliopita, hivyo mdau huna haja ya ku-apply majamaa hawataki watu wapyaaaa, kama ulishindwa kupata nafasi seasons 4 zilizopita ndo basi tenaa!!!



“We want to invest more broadly in season 5 and having already been introduced to a world of interesting characters from previous searches, there’s limited value in spending extensively in another search for contestants,”

(Nukuu kutoka kwa M-Net Africa Managing Director Biola Alabi)

“We’ll still be looking for entertaining persons with a sense of humor, a love of adventure and the ability to enjoy the very exciting Big Brother experience. In the past we’ve spent widely to find contestants in 14 countries. This year, we’re using these funds to develop a gutsy new series, recreating the house in a very different way and focusing on putting new technology into place.”

No comments:

Post a Comment