![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgV8-iDAYkXc5IDyqJbDEBu9izLJ5VY9eqAN7Bd3yLJeO-NjvQI3VqprC_mnvKP1y24KxIGKXb0u1p9Yd3Ew1dqg8ZG13ph2FUZj7DXZjmtF0O6A4AMUWn_JcZbWO8a2jr_ohwmolZS_fWh/s400/8E9U0705.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa mstaafu wa Marekani Bill Clinton leo mchana.Baadaye viongozi hao wawili walifanya mazungumzo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh-D2LEThOtj5HNVxffW0GAWKx_u6N5HLo6Ils-iJ4PeXVV8fhS6wgTnxILY44tbs9BFNWnDEP0ppv7OgCvFk9uoZ2xfED8ppIG8sw-vkPeATIJNrfih5F2PcEkpcArr9TqKUehroFhodTI/s400/8E9U0865.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Bill Clinton Ikulu jijini Dar es Salaam.
Clinton ana foundation inayopigana sana na UKIMWI Duniani hasa pande hizi za Afrika. Natumai atakuwa amesaidia kutumiminia ARV za kutosha Bongoo, welcom father!!
No comments:
Post a Comment