![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDB3PwAjpFNpRRDsC7hoMR_bQLVudARGVyBtU3dnPI9tbaX9oxc8JO4RTTHhpWTrwRbDwjClEQViGCZEIEa-oRSnxVBOH2Pz1qpRUEISZjhBUKlaxdQL2h-CQuPMXQ6OKhueTxCQ_WRa8/s320/naz-296x300.jpg)
First lady wa Neccessary Noise mwana Hiphop NAZIZI amejifungua mtoto wa kiume anayeitwa TAFARI wiki moja iliyopita, na sasa anaitwa mama. Nazizi aliyeolewa miaka miwili iliyopita alitoa habari hio jumapili iliyopita ktk page yake ya Facebook, Pia amesema wako mbioni kuachia single baada ya kushauriana na Wyre hivi karibuni
"hey guys im a mum! my son is a week old today his name is TAFARI not kamar as nairobi star said....he sends his greetings to all"
No comments:
Post a Comment