Monday, June 21, 2010

Ulaisi 2010 - 2015....!

Katibu Mkuu wa Chama Cha mapinduzi Yusuf Makamba akimkabidhi fomu ya kugombea Urais, Rais Jakaya Mrisho kikwete katika makao makuu ya CCM mjini dodoma leo asubuhi.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionesha fomu kwa wanachama wa CCM muda mfupi baada ya kuichukua mjini Dodoma leo, kulia mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifurahia.

No comments:

Post a Comment