Friday, June 18, 2010

Hitma ya ndugu yetu Ambonisye Aggrey...!

Jumapili hii ndugu na jamaa wanakusanyika kuhitimisha Arobaini ya ndugu yetu marehemu Ambonisye Aggrey pichani kulia aliyefariki tarehe 06/05/2010 na kuzikwa 09/05/2010 makaburi ya Segerea, DSM.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEPONI AMINA!

No comments:

Post a Comment