Dullayo, Ommy G na Soprano wapo katika mazoezi makali ya bendi...!
Wasanii wa Bongofleva wanaoipeperusha Makavulive, Dullayo Ommy G na Soprano wameanza mazoezi ya kuimba nyimbo zao kwa kutumia vyombo vinavyopigwa live (live band) ili kuwa kimuziki zaidi na kutoa radha za ukweli kwa ma-fanz.....! Big up mzaz!
No comments:
Post a Comment