Monday, June 28, 2010

Mzee wa 'Asalaam aleikum' aongoza kupendwa kura za wadau Facebook...!

Ephraim Samson Kibonde
Ktk kupitia pitia post za wadau wakuu wa facebook Bongo nimeiona swali moja kali la kizushi liliyopostiwa na Shyrose, na nilipofatilia kwa karibu nkagundua kumbe braza Kibonde ametajwa mara nyingi zaidi na kufuatiwa na Dina pamoja na B12 ktk zile comment 77 nilizoziona mimi! I like it..



Shy-Rose Bhanji aliuliza hivi:-
hivi ni mtangazaji yupi wa clouds fm unayempenda? na kwa nini? taja sababu ya kumpenda tafadhali!

No comments:

Post a Comment