Monday, June 28, 2010

MB DOGG alivyopagawisha show ya Summer party, UK juzi..!

Shabiki wa Bongofleva UK akimvuta jeans MB Dogg, alipokuwa anaperform huko Milton Keynes, UK ktk Summer party ya Dj LeeBoy Flex


support ya kutosha ilipatikana kutoka fanz

No comments:

Post a Comment