Msanii wa muziki nchini MR 11 ,JOSEPH MBILINYI .
Baada ya msanii MR 2 kukamatwa majira ya asubuhi leo(jana) hii katika ofisi za BASATA wakati wa PRESS TALK akiwa anaongelea masuala ya muziki, msanii huyo ameachiwa hura na kituo cha upelelezi cha polisi.
Akizungumza kwa njia ya SIMU 2 amesema alikamtwa na polisi baada ya mmoja wa viongozi wa radio clouds RUGE MUTAHABA kumshitaki mwanamuziki huyo kuwa anamtishia maisha kupitia wimbo wake wa ANTI VIRUS.
MR 2 amesema baada ya kukamatwa alipelekwa katika kituo cha polisi cha upelelezi kwa ajili ya mahojiano,lakini baada ya muda MR 2 alitoka kwa kujidhamini mwenye.
Lakini mwamuziki huyo ametakiwa kuripoti tena kesho kutwa katika ofisi hizo kwa mahojiano zaidi.
from JaneJohn blogspot
No comments:
Post a Comment