Nazungumzia wasanii wa hiphop wenye mashairi ya kiharakati kuwa ndio kipindi chao cha kusikilizwa zaidi kuliko wale wanaoimba zaidi nyimbo za 'nakupenda sana' huku wakibana pua na kuonekana kupendwa zaidi na watu....

so wanaopanga burudani ktk majukwaa ya siasa za kampeni waliangalie hili kwa jicho la tatu!!!!
Tusikilize nyimbo kama ya
ROMA - TANZANIA
BONTA - NAUZA KURA YANGU
KALA JEREMIAH - WIZI MTUPU na wengine kibao kama hao halafu tuone!


Blog ya Makavu inawatakia kila Lakheri ktk Kampeni....!!
KURA YAKO NDIO MKOMBOZI WAKO
No comments:
Post a Comment