Monday, August 9, 2010

Nature alivyojipangusa na Lil Kim Fiesta...!



Hapa Nature alikuwa anauliza umati wa Fiesta; "Aibu yao aibu yetuuu"








Lil Kim akicheza na Sir Juma Nature jukwaani usiku wa jana kwenye tamasha la Fiesta Jipanguse 2010,viwanja vya Leaders Club jijini Dsm. Mwanadada alipagawa mixer kumkumbatia na kumkiss Nature kiasi cha ma-fans kumuita 'shemeji'

No comments:

Post a Comment